Croco – The Undertaker Freestyle [Drake ft Jayz and Lil Wayne – Light up Refix]

Croco – The Undertaker Freestyle [Drake ft Jayz and Lil Wayne – Light up Refix]


Ey Ey
Its yout boy Croco
you dont know washa kimoja joh
yea Buda kaa rada
Usijewai wai hata Hizi mapunch mbaya
Moto kuliko camp faya Coz niko njaa mbaya
Nadai dai tu kudish bana Ukileta ufala ni mashati kushikana
Fasta fasta chop chop ka pirhanna Nikipull up mistari hot hot na ni standard
Hawa wasee wakudownload beats na kufanya covers Na marapper wanna choke wasikuje hapa
nishahoka kucheki youts wakikulwa ganji Wanapull up na masuit wanakupata na kipaji
Ati watakumake famous what is fame if you aint got nothing
Nataka benzo pale kwenye parking Ndio maana kabla nifike venue me nadai depo
Me nimecome kurap me sijacome kuuza ticko Una expect aje mafans wacome ka hukufanya
promo Kazi yangu kurusha mapunch na kuvuta collo
i cant take this shit no more Ka ni biz tuchape biz kuwa professional
Me niko works niko wera man Na bado nitarusha mapunch ukinisupport or
not Nisiskie ukibonga ka hukubuy Kabaridi
Please ni DM ka una shida na mimi Nitapull up real fast utakula hii slap
Take u back to your roots nikuache umedunga dashiki
Hi geri ni ya machizi Mapeng pia ni mafisi
Na kama unanisaka Nipate kwenye ofisi
Nikidrop banger on the regular Si nilidhani ulinitoka
Sai nacheki number yako kwa truecaller

2 thoughts on “Croco – The Undertaker Freestyle [Drake ft Jayz and Lil Wayne – Light up Refix]

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *